Psalms 41:1-2

Maombi Ya Mtu Mgonjwa

Kwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi.

1 aHeri mtu yule anayemjali mnyonge,
Bwana atamwokoa wakati wa shida.
2 b Bwana atamlinda na kuyahifadhi maisha yake,
atambariki katika nchi
na hatamwacha katika tamaa ya adui zake.
Copyright information for SwhNEN